Kielezo cha uwezeshaji wa wanawake katika biashara inayohusiana na mifugo (WELBI): Mwongozo wa maagizo
Abstract
Iliundwa kufuatia Kielezo cha Uwezeshaji Wanawake katika Mifugo (WELI) na kufuata mpangilio wa "Pro-WEA_for_Value chains” na watafiti kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI), moduli ya WELBI ni kifaa kipya kilichosawazishwa ambacho hupima uwezeshaji wa wanawake wanaoshiriki katika biashara zinazohusiana na mifugo. Mwongozo huu unatoa maagizo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kutekeleza utafiti wa WELBI.
Citation
Omondi, I., Galie, A., Teufel, N. and Kariuki, E. 2023. Kielezo cha uwezeshaji wa wanawake katika biashara inayohusiana na mifugo (WELBI): Mwongozo wa maagizo. Nairobi, Kenya: ILRI.